Lewati ke konten utama
Lirik lagu

Hisia

Jay Melody

Ooh oooh
Aaah aaah
Aaaah pazito

The one and only jay
Sijui wapi nafeli kama kujali najali tena nakuzingatia
Sio kama hujielewi unajitoa tu fahamu kusudi unanifanyia

Kuna muda najiuliza
Na force vitu au vipi
Kila siku mi ndo naumizwa

Nipo kwako kama shabiki
Ovyoooo
Nimeona nisikulazie

Damu nimeamua nikuambie
Mambo unayofanya jifikirie
Kama ku share kwa wengine sio mie

Si umeamua kucheza nazo
Aaah hisia
Hisia zangu unazichezea

Aah hisia
Umeamua unipe mawazo
Aaah hisia

Hisia zangu unazikosea
Aaaah hisia
We si umeamua ku deal nazo

Aaaah hisia
Hisia zangu unazionea
Aaaah hisia

Sa kwanini unipe mawazooo
Aaah hisia
Hisia zangu unazikosea

Aaaah hisia
Mamaaa
Pazitooooo