Lewati ke konten utama
Lirik lagu

Bado Nakupenda

Zuchu

[Verse 1]
Wewe hapo ndiyo unaenichangamsha mwili
Umenipa muwa na kifundo
Kidege chako za nini kikiri
Si nishanasa kwenye ulimbo
Na nikinuna ntasema sikutaki
Jua hapo ndiyo napotaka sana
Nikiuchuna ntajifanya mkaksi
Jua tu nataka kubembelezana

[Pre Chorus]
Maana mimi bila wewe
Kama kitu bila paper
Ssimtaki mwinginewe
Maana kwako ndiyo nadeka

[Chorus]
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda

[Verse 2]
Mpenzi wangu tabibu
Naahidi kuwa mpole
Kiniacha aibu mimi
Atanicheka lokole
Unanijua mchokozi napenda kukutania
Mtoto chuchu konzi kwa ndani nafinyia
Kukulisha kwa mapozi apo nakupuliza
Ukiniacha totoz nani atakufanya

[Pre Chorus]
Maana mimi bila wewe
Kama kitu bila paper
Ssimtaki mwinginewe
Maana kwako ndiyo nadeka

[Chorus]
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda