Lewati ke konten utama
Lirik lagu

Chai ya saa kumi

Ywaya Tajiri

Moyo wangu ina viraka juu wengi walinimess
Ila tangu kukupata I swear naskia best
Na wakitukazia njoo turuke fence
Penzi letu telemundo nobody can contest
Kidogo ukinigusa mwilini napata goose bumps
When I am with you ni ukweli tu I'll do anything for love
Ni mpole tena msupa mwoneni figure ya chupa

Nikiwa na ye' mnisamehe I'll do anything for love
Nakungoja kuliko chai ya saa kumi
Usiku mchana ni wewe tu ndio nawaza
My subira wanituliza vizuri
Nangoja fursa nikupeleke kwa mama
Tararara tararara gi ma mara mari
Cest la vie my darling

Tararara tararara nishaona mali
You're the one I am gonna marry
Mama wengi wanatuongelea
Kila siku ni songi songi hawatujui
Osiep chunya kiri deu I will keep you company
Kiri wea my abebo inemi rundo wiya
Wacha waongee wacha waseme ni kamote

Ata waseme ni dumba
Penzi si tuendelee tusirudi nyuma
Kungoja kuliko chai ya saa kumi
Usiku mchana ni wewe tu ndio nawaza
My subira wanituliza vizuri
Nangoja fursa nikupeleke kwa mama
Tararara tararara gi ma mara mari

Cest la vie my darling
Tararara tararara nishaona mali
You're the one I am gonna marry
Tararara tararara gi ma mara mari
Cest la vie my darling
Tararara tararara nishaona mali
You're the one I am gonna marry