Lirik lagu
Kupendwa Na We
Video tidak tersedia untuk diputar di halaman ini. Lirik dan informasi lagu tetap tersedia.
Cari video di YouTube.
Watendawili
Jogoo wa shamba akilala mjini
Usingoje kwa nche
Ata shetani alimwambia Yesu
Asiogope aruke
Chunga sana
Waema kweli duniani wachache
Samaki wengi baharini
Hawawezifanya nikuache
Mwenzako mimi kama wazimu
Penzi lako ili nipatee
Juu unapenda, napenda
Kupendwa na wewe
Sioni cha kufananisha
Na kupendwa na wewe
Juu unapenda, napenda
Kupendwa na wewe
Sioni cha kulinganisha
Na kupendwa na wewe
Kufa kupona
Nshanzidi kuwa wangu nambari moja
Hivi pamoja
Tujitahidi hadi tuanzishe boma
Nini ulinipa
Juu nashinda nikiulizwa
Mjini kama ndege
Wa angani uliniwinda
Future pamoja
Penzi mi na wewe nimeshaiona
Na usiwe na woga
Hii safari jua ni Mola ataongoza
Napenda, napenda
Kupendwa na wewe
Sioni cha kufananisha
Kama kupendwa na wewe
Unapenda, napenda
Kupendwa na wewe
Sioni cha kulinganisha
Kama kupendwa na wewe
Kupendwa na wewe
Ni kama kupendwa na wewe
Kupendwa na wewe
Usingoje kwa nche
Ata shetani alimwambia Yesu
Asiogope aruke
Chunga sana
Waema kweli duniani wachache
Samaki wengi baharini
Hawawezifanya nikuache
Mwenzako mimi kama wazimu
Penzi lako ili nipatee
Juu unapenda, napenda
Kupendwa na wewe
Sioni cha kufananisha
Na kupendwa na wewe
Juu unapenda, napenda
Kupendwa na wewe
Sioni cha kulinganisha
Na kupendwa na wewe
Kufa kupona
Nshanzidi kuwa wangu nambari moja
Hivi pamoja
Tujitahidi hadi tuanzishe boma
Nini ulinipa
Juu nashinda nikiulizwa
Mjini kama ndege
Wa angani uliniwinda
Future pamoja
Penzi mi na wewe nimeshaiona
Na usiwe na woga
Hii safari jua ni Mola ataongoza
Napenda, napenda
Kupendwa na wewe
Sioni cha kufananisha
Kama kupendwa na wewe
Unapenda, napenda
Kupendwa na wewe
Sioni cha kulinganisha
Kama kupendwa na wewe
Kupendwa na wewe
Ni kama kupendwa na wewe
Kupendwa na wewe