Lirik lagu
Yebo (Nitawale)
Video tidak tersedia untuk diputar di halaman ini. Lirik dan informasi lagu tetap tersedia.
Cari video di YouTube.
Vestine and Dorcas
[Verse 1]
Mwokozi wangu ,Nakuhitaji zaidi
Na Moyo wangu , Unalia Uwepo wako
Nimejaribu on my own ,Lakini Siwezi
Nakutegemea Usiniache kamwe
[Verse 2]
Nikiwa bado napumua ,Jina lako ndilo nitajivunia
Tena Sitaki kitu ca kunikataza ,Kuwa chombo chako
Sauti yako ikaniita, vingine vyote mimi nakataa
Nifiche ndani ya mabawa yako, fika mwisho wa safari
Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda tena sana
Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe
[Chorus]
Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana
Overpower All of me , the way you truly desire
Natamani kuongozwa, na Mkono wako wenye nguvu
Breath your fresh Air into my heart
Amen – Amen -Amen
YEBO- YEBO Jesu , YEBO – YEBO Jesu
YEBO -YEBO Ngidinga wena
[Verse 3]
Eeh Mungu nitumikishe ,Katika faida za mbingu
Nisimamie vizuri ,Ufalme wako
Ndani ya Ulimwengu
Najaze nguvu nipambanе, Udhaifu wangu uondoe
Nidharau mishale ya machungu adui anayonipiga
Hawa wanataja Magari ,Wenginе wanataja mafarasi
Mbali sisi tunalitaja Hilo Jina la bwana x 3

[Verse 4]
Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana
Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe (repeat)
Hayayaya, Sitaogopa Kamwe
Bonde la Mauti ,Sitaogopa kamwe
Sitaogopa, Sitaogopa kamwe
Kwenye shimo la simba.Sitaogopa kamwe
Katika Giza tupu,Sitaogopa kamwe
Ndani ya bahari kuu, sitaogopa kamwe