Lewati ke konten utama
Lirik lagu

Bila Bila

Joel Lwaga

Nikitazama nilikotoka hapa nilipo ninapokwenda ninagundua
Ingekuwa ni nguvu zangu ningeshachoka nisingeweza
Sio kweli kwamba tu ku-hustle na kupambana ndio vimenitoa

Juhudi haizidi kudra siwezi sema babu hakujituma
Niliitwa ndugu lawama, mfano wa waliokwama
Mtu asiye na maana wa kuchekwa kudharauliwa

Ila Mungu ana maguvu bwana leo nikipita wanaitana
Sa ngoja nami niwaite niwape siri ukweli ni kwamba
Bila Mungu mimi bila bila bila

Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi bila bila bila
Sina ujanja yani zero bila

Bila Mungu mimi bila bila bila
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi bila bila bila

Mmh yani kama meli isiyo na nahodha
Kama bunge lisilo na hoja
Mi ni debe tupu bila ya Mola

Msidanganyike nje mnavyoniona
Sina mzizi wala mlozi
Nina mtetezi tena yu hai

Ye ndo siri ya mi kunawiri
Bila ye mi chali na sifurukiti
Niliitwa ndugu lawama, mfano wa waliokwama

Mtu asiye na maana wa kuchekwa kudharauliwa
Ila Mungu ana maguvu bwana leo nikipita wanaitana
Sa ngoja nami niwaite niwape siri ukweli ni kwamba

Bila Mungu mimi bila bila bila
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi bila bila bila

Bila Mungu mimi bila bila bila
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi bila bila bila

Bila Mungu mimi bila bila bila
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi bila bila bila

Kweli bila Mungu mimi bila bila bila
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi bila bila bila