Lewati ke konten utama
Lirik lagu

Stima

BURUKLYN BOYZ

Tuko opp block na ma candle kwa giza
Najua umekula naree usiplay na stima
Watch usikanyage cable chunga usikanyage cable

Tuko opp block na ma cndle kwa giza
Leo kuna boy analala kwa freezer
Amebook appointment anadai amebook appointment

Mi siogopi some mi siogopi no
Ndakusmoke kama loud ya canada
Hii ni glock 19 na ni full clip mbleina anadhani hii ni banana

2 glocks na zinafanana
Zi sha zoea kubeba lawama
Ground naree watch kule unakanyaga

Zimeriet ukinitry umepagawa
Fly high fly high bila mabawa
Na ka uko high basi jua we ni walking dead

Ningekuwa we una beef na mimi ningejinyuria instead
Si spread rumours ni nganji na spread
Success inani affect

Namba uni simbatui ka we ni badman
Ata sungura na isshinda ujanja
Si lazma nikutrace kichwa yako naeka order

Wakideliver naikanja
Tuko opp block na ma candle kwa giza
Najua umekula naree usiplay na stima

Watch usikanyage cable chunga usikanyage cable
Tuko opp block na ma cndle kwa giza
Leo kuna boy analala kwa freezer

Amebook appointment anadai amebook appointment
Unstoppable
Auwezi ni mark unmarabal

Game 90 el matado
Ni nurdin haujawahi jua mi ni walalo
Maya david nikona ma blue kwenye bangalo

Na buy sprite unaeza pull up na lin et
Zimemshika ni kaa ako jing weehhh
Old is gold na ngaa kama sling

Uta dunge apa auwezi fanya kitu na doo
Dancehall amapiano kitu yoyote na doo
Izo kicks ume vaa ni ma number 2

Uliza namba uno tunafwatanga mdundo
Chimbua chimbua malizwa na ma kumbo
We ndio keeper kaa rada naachia

Ambia mana top player ameingia
Mi mtu mbaya na flow ka gasia
Nikona knowledge yaku kubaki on top

Bissness man nazi make mna zi copyy
Mwakenya ndio hii apa ukidi unaeza copy
Unaeza copyyyy

Nikona knowledge yaku kubaki on top
Bissness man nazi make mna zi copyy
Mwakenya ndio hii apa ukidi unaeza copy

We mtoi wa ku come kichwa chini cheza lowkey
Tuko opp block na ma candle kwa giza
Najua umekula naree usiplay na stima

Watch usikanyage cable chunga usikanyage cable
Tuko opp block na ma cndle kwa giza
Leo kuna boy analala kwa freezer

Amebook appointment anadai amebook appointment
Mi ni worri worri worri worri worri worri worri mi ni warrior
Wanaboronja sana tukipatana

Wanajifanya mamorio
Mi ni wa east na si kutambui morio
Take notes mi ni odi jo

Mi ni wa east na si kutambui morio
Take notes mi ni odi jo
Na stack doo hadi 34briks

Foundation imestunya auwezi vunja hii briks
Weeuwee kichwa chini ni ma bicycle kick
Ita bidi mme tap out akuna cha pix

Cross upercut fala anaona dip dip
Ukidai smoke kuna ma fatty na ma slim slim
Official shirt nimepigilia na bling bling

Mi ni king pin o unstoppable
Unstoppable stoppable stoppable
Hatuskizi tracks mboi zao zinaboo

Niko hustle nadai only more doo
Funga mdomo wewe modo
Opp block niko patrol ma fans wako chini wanashinda wananiitisha za macho

Sina kitu kila vako
Do zingine ziko kwa trap phone
Kata iyo mwethe

Opp block niko patrol ma fans wako chini wanashinda wananiitisha za macho
Sina kitu kila vako
Doo zingine ziko kwa trap phone

Kata iyo tenje
Tuko opp block na ma candle kwa giza
Najua umekula naree usiplay na stima

Watch usikanyage cable chunga usikanyage cable
Tuko opp block na ma cndle kwa giza
Leo kuna boy analala kwa freezer

Amebook appointment anadai amebook appointment
Mi siogopi some mi siogopi no
Ndakusmoke kama loud ya canada

Hii ni glock 19 na ni full clip mbleina anadhani hii ni banana
2 glocks na zinafanana