Lewati ke konten utama
Lirik lagu

Natulia

Aslay

Yeyeyeye… Yeyeyeyeyeye..
Oooh Oooh Oooh Oooh Ooh
Aaaah
Swala sio tu kunipa tendo
Ila ulinifunza upendo

Wallah ukiniacha nitadata
Nitadataaa
Na vile ulikuwa na malengo
Leo naitwa Baba Mjengo
Wallahi

ukiniacha nitakufaaa aaaah aaah
Kitabu nimefunga cha mapenzi
ulimbo nimenasa kwako
Dereva mi ndo Konda nipeleke baby
We ndo Chief wa himaya yangu

Nitake nini cha zaidi
vipi niwe mkaidi kwa mwengine siendi
Ukitandika kitanda
mie Busy kula karanga
We Simba mi Yanga

Njoo tulicheze kandanda
Ukinivalishaga gwanda
Nawajibika kama Kamanda
Sishukagi nikipanda
Twakitikisa kibanda

Na nimeshaapa
Natu Natulia
Mmmmmmh
Natu Natulia
Mmmmh

Natu Natulia na wewe
kwengine nitake nini
Natu natulia