Lewati ke konten utama
Lirik lagu

Utu

Alikiba

[Intro: Alikiba]
Yo!
(Yogo On The Beats)

[Verse 1]
You sweet like a pipi, mama
I can fight, I can kill someone for you
Because I'm in a danger zone, oh no
This feeling, feeling that am feeling
It's too much
I see future
Life with you is so brighter
Nakupenda sana you know that
I will die for you
Oh sweetheart
Life with you is so sweeter
Nakupenda sana you know that
Nakupenda sana you know that, yeah

[Pre-Chorus]
Na hakuna kipya kwenye dunia, oh my love
We ndo maana tamaa nazizuia, oh my love
Natupo maelfu kwa mamia, in this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God

[Chorus]
Na umebarikiwa utu 'na utulivu
Umebarikiwa utu 'na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu 'na utulivu
Umebarikiwa utu 'na utulivu
Oh

(Instrumentals)

[Verse 2]
Siku zote maumivu, maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu, hukumu, zilishanikumba
Kwa mateso ya kung'ang'ania, kupenda usipopendwa
Nilifosi kujificha kule, kumbe chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani mapеnzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huko mabegani ananishika na hapa
Massage mgongoni yananilevya makopa

[Pre-Chorus]
Na hakuna kipya kwеnye dunia, oh my love
We ndo maana tamaa nazizuia, oh my love
Natupo maelfu kwa mamia, in this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God

[Chorus]
Na umebarikiwa utu 'na utulivu
Umebarikiwa utu 'na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu 'na utulivu
Umebarikiwa utu 'na utulivu

[Outro]
Aah
Namwona yeye
(Analia ninapokuwa)
Aah
Namwona yeye
Akikesha ananiombea dua
Aah
Namwona yeye
Analia ninapokuwa, ah
Aah
Namwona yeye
Haakikishe ananiombea dua